Matukio ya Taifa: Vikao vya mazungumzo ya maridhiano yakitarajiwa kuanza

1 Min Read

Vikao vya mazungumzo ya maridhiano yakitarajiwa kuanza, wachanganuzi wa masuala ya kisiasa wametaka kuzingatiwa kwa baadhi ya masuala yaliyoibuliwa na mirengo ya Azimio na Kenya Kwanza ili kuimarisha uchumi wa nchi.

Mwishoni mwa juma pande hizo mbili ziliafikiana kuunda kamati ya watu watano kila upande ili kujadili masuala muhimu miongoni mwao uundwaji upya wa tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC, Kubuniwa kwa afisi ya upinzani miongoni mwa maswala mengine.

Share This Article