Matukio ya Taifa: Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma mteule Renson igonga kufuata kanuni za utumishi wa umma

0 Min Read

Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma mteule Renson Mulele igonga aahidi kuzingatia Maadili na kanuni za utumishi wa umma; Serikali yahimizwa kuidhinisha mswada wa mwaka wa 2022 wa haki za walio na ulemavu chini ya sheria za kimataifa za umoja wa mataifa; na mpango wa kujengwa kwa vituo elfu 25 vya mitandao almaarufu wifi waendelea kushika kasi.

TAGGED:
Share This Article