Mazingira: Umuhimu wa mikoko

0 Min Read

Ukataji miti kiholela pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha maji baharini vimetishia makazi ya wanyama na binadamu wanaoishi karibu na mikoko, na kuchangia mogogoro baina ya wanyama na binadamu.

Katika makala maalum wiki hii Austin Mirambo anaangazia umuhimu wa mikoko almaarufu Mangroves.

Share This Article