Matukio ya Taifa: World Coin ilivunja sheria ya Kenya

0 Min Read

Kampuni ya sarafu ya ulimwengu ilikiuka sheria za usajii wa data na washukiwa wa mradi huo watakailiwa kisheria. Hayo ni kulingana na waziri wa usalam wa ndani Kithure Kindiki na mwezake wa mawasiliano, teknolojia na uchumi wa kidijitali Eliud Owalo, walipofika mbele ya bunge kujieleza.

Share This Article