Matukio ya Taifa: Wazee wa Nyumba Kumi waitaka serikali kuwalipa

KBC Digital
0 Min Read

Gavana wa Kaunti ya Kisumu aomba jamii za mpakani Sondu kustisha ghasia na kudumisha amani; Ajenda ya mazungumzo ya maridhiano kati ya Kenya kwanza na Azimio la umoja inatarajiwa kubainika wazi kufikia mwishoni mwa wiki hii; Wazee wa nyumba kumi waitaka serikali kuwalipa kwa kazi wanayoifanya.

Share This Article
Optimized with PageSpeed Ninja