Baadhi ya walimu katika shule za kaskazini mashariki wapiga kambi nje ya afisi za TSC wakidai kuhamishwa; Zaidi ya Wakenya elfu 350 walijiandikisha kupata worldcoin chini ya wiki moja wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikiendeleza shughuli zake nchini; na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HELB Charles Ringera atetea mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu.