Matukio ya Taifa: Waalimu 37 na Polisi 30 wauawa na Alshabaab tangu 2013

0 Min Read
Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki

Takriban walimu 37 wameuwawa na magaidi wa Alshaabab na maafisa 30 wa Polisi tangu mwaka 2013. Akitoa takwimu hizo Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki, anasema wanamgambo wa Alshaabab wamekuwa tatizo kuu kwa usalama wa wakenya hasaa wanaoishi katika kaunti zilizoko mipakani mwa Kenya na Somalia.

Share This Article