Matukio ya Taifa: Viongozi wa dini chini wametaka kujumuishwa kwenye mazungumzo ya maridhiano

0 Min Read
Azimio co-principal and Wiper leader Kalonzo Musyoka addressing the media (File)

Viongozi wa dini chini wametaka kujumuishwa kwenye mazungumzo ya maridhiano yanayosubiriwa kuanza juma lijalo. Baraza la makanisa nchini,na lile la maskofu wa kanisa katoliki na pia baraza la wahubiri wakiislamu, wametaja uhaba wa ajira, utangamano wa taifa na kuboreshwa kwa huduma za serikali za kaunti kama matakwa yao makuu watakyowaslisha kwenye vikao hivyo.

Share This Article