Matukio ya Taifa: Serikali iongeza ushuru kwa bidhaa za tumbako, wanaharakati wahimiza

0 Min Read
File picture

Wito watolewa kwa serikali kuongeza ushuru kwa bidhaa za tumbako kupunguza matumizi yake; wanafunzi  kaunti kadhaa wanufaika na ufadhili wa masomo; na serikali yazindua mafunzo ya kilimo biashara katika kaunti 33 nchini.

Share This Article