Matukio ya Taifa: Polisi waliopuuza ripoti zilizohusu Paul Mackenzie kuchukuliwa hatua

0 Min Read

Maafisa wa polisi katika eneo la Lango baya kaunti ya Kilifi waliopuuza ripoti zinazohusu shughuli za kutatanisha za Mchungaji Paul Mackenzie katika msitu wa Shakahola watachukuliwa hatua.

Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki alisema kuwa serikali itashughulikia kesi hiyo kuanzia wakati Mackenzie alikamatwa mwaka wa 2017.

Share This Article