Matukio ya Taifa: Mahakama Kuu imeshikilia uamuzi wa kufutilia mbali sheria ya fedha 2023

0 Min Read
Court will deliver the ruling on the stay application next week

Mahakama Kuu imeshikilia uamuzi wake wa kufutilia mbali sheria ya fedha ya mwaka wa 2023.

Jaji wa Mahakama ya Juu Mugure Thande amesema kuwa walalamishi wamethibitisha kuwa wana kesi na kuongeza kuwa ikiwa amri hizo zingeondolewa, athari zake zitawaathiri wananchi.

Aidha Jaji mMugure ameagiza faili hiyo ipelekwe kwa jaji mkuu Martha Koome, ili kuteua majaji watatu ambao watasikiliza na kuamua kesi hiyo.

Share This Article