Matukio ya Taifa: Hisia tofauti zaibuka kuhusu mazungumzo kati ya Kenya Kwanza na Azimio

0 Min Read

Hisia mseto zinaendelea kuibuka kuhusu mazungumzo yaliyosubiriwa kwa muda mrefu kati ya muungano wa Kenya Kwanza na ule Azimio la Umoja. Haya yanajiri huku upinzani ukidai kwamba wenzao katika mrengo wa serikali hawajaonyesha nia njema katika mazungumzo hayo.

Share This Article