Matukio ya Taifa: Barabara na mipaka duni husababisha ukosefu wa usalama Turkana

0 Min Read

Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Gitivo Mwita ametaja ukosefu wa barabara na mipaka dhabiti Kaunti ya Turkana kuwa chanzo kuu cha ukosefu wa usalama katika eneo hilo. Maonyesho ya kimataifa ya biashara yameanza rasmi katika uwanja wa jamhuri jijini nairobi. Ambapo zaidi ya wawakilishi wa kampuni 350 katika sekta mbali mbali wamekita vibanda vyao kwenye maonyesho hayo yaliyoanza leo.

Share This Article