Zinga: Waziri wa Utalii Peninah Malonza ajadili Siku ya Kiswahili Dunia

1 Min Read

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO tarehe 23 mwezi Novemba mwaka 2021 lilitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Je, lugha ya Kiswahili ina nafasi gani Kwa Maendeleo ya Taifa? Je Kenya imechukua mwelekeo upi katika kuendeleza Kiswahili? Vile vile katika tamaduni zetu na utalii, lugha hii yetu ina nafasi gani? Ni maswali ambayo Waziri wa Utalii, WanyamaPori na Utamaduni mheshimiwa Peninah Malonza alijibu kwenye mahojiano yake na Rashid Mwamkondo kwenye Zinga la Asubuhi.

Share This Article