Kampuni za kusaga kahawa zinalenga kuwasimamisha kazi wafanyikazi wake baada ya kiwango na bei ya kahawa iliyouzwa katika solo la hisa la Nairobi kupungua katika kipindi cha miezi mitatu mtawalia huku wafanyi biashara na wanunuzi wakijiepusha na soko hilo…. NA, Wanaosaka nyumba za kukodisha kwa haraka na za bei nafuu wapata afueni baada ya mvumbuzi mchanga kutumia teknolojia ya sasa kurahisisha mambo.