Kamati ya mazungumzo ya uwiano wa kitaifa kupata mwelekeo wa mazungumzo yake jumatano ijayo; hofu ya mashambulizi yaeendelea kutanda eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya: and mamlaka ya usalama barabarani NTSA yafurahia tangazo la serikali la kuondoa vizuizi vyote barabarani.